JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI
YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu: 255-22-2114512,
2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Faksi: 255-22-2113425 |
OFISI YA RAIS,
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewathibitisha watendaji wakuu
wa taasisi mbili za serikali.
Waliothibitishwa
ni Bw. Alphayo Kidata, aliyekuwa
Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ambaye anakuwa
Kamishna Mkuu wa TRA, na Bw. Valentino
Mlowola aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana
na Rushwa (TAKUKURU), ambaye anakuwa Mkurugenzi Mkuu wa (TAKUKURU).
Watendaji hawa
wamethibitishwa kuanzia leo tarehe 13 Machi, 2016
Gerson
Msigwa
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano, IKULU.
Dar es
salaam
13 Machi,
2016
0 comments:
Post a Comment