Ad (728x90)

Tuna Develop/Design Blog & Website & Android Application ......0717331293

Monday, 27 June 2016

Filled Under:

MFANYAKAZI NA MTANGAZAJI WA MORNING STAR RADIO/MORNING STAR TELEVISON SIFAEL LUSIU AFUNGA NDOA NA MUSA HARUN NGOLLO - JIJIN MWANZA

ZA KITAIFA














































Tarehe 26.06.2016 ni siku ambayo haitasahaulika kwa MTANGAZAJI wa MORNING STAR RADIO&MORNING STAR TELEVISION "SIFAEL LUSIU" kufunga pingu za maisha na kijana MUSSA HARUN NGOLLO jijin Mwanza, ndoa iliyofungwa na Mch,CHRISTOPHER UNGANI ambaye pia ndiye Mkurugenzi wa vyombo vya habari vya kanisa la Waadventista wasabato Tanzania -TAMC
Lakin pia tar 26.06 ilikuwa ni Birthday ya Bwana harusi huyo.

MUNGU AIBARIKI FAMILIA HIII CHANGA NA KUWAPATIA FURAHA NA AMANI

Unknown

Author & Editor

Naitwa Prince Emanuel, ni mtangazaji na muandaji wa vipindi kupitia Morning Star Radio na Morning Star Televesion Tanzania.

1 comments:

 

Copyright © UNCLE PRINCE ™ is a registered trademark.
Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.