JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI
YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu: 255-22-2114512,
2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Faksi: 255-22-2113425 |
OFISI YA RAIS,
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakuu wa Mikoa
26 ya Tanzania Bara, ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo
vyao vya kazi, 5 wamehamishwa vituo vya kazi na 1 amepangiwa Mkoa Mpya wa
Songwe.
Uteuzi huo
umetangazwa na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Mussa Ibrahim Iyombe leo
tarehe 13 Machi, 2016 Ikulu Jijini Dar es salaam.
Wakuu wa Mikoa
walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
1.
Mh.
Paul Makonda - Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
2.
Meja
Jenerali Mstaafu Ezekiel Elias Kyunga - Mkuu wa Mkoa wa
Geita.
3.
Meja
Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu - Mkuu wa Mkoa wa
Kagera.
4.
Meja
Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga - Mkuu wa Mkoa wa
Katavi.
5.
Brigedia
Jeneral Mstaafu Emmanuel Maganga - Mkuu wa Mkoa wa
Kigoma.
6.
Mh.
Godfrey Zambi - Mkuu wa Mkoa wa Lindi.
7.
Dkt.
Steven Kebwe - Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
8.
Kamishna
Mstaafu wa Polisi Zerote Steven - Mkuu wa Mkoa wa
Rukwa.
9.
Mh.
Anna Malecela Kilango - Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
10. Mhandisi
Methew Mtigumwe - Mkuu wa Mkoa wa Singida.
11. Mh.
Antony Mataka - Mkuu wa Mkoa wa Simiyu.
12. Mh.
Aggrey Mwanri - Mkuu wa Mkoa wa Tabora.
13. Mh.
Martine Shigela - Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
14. Mh. Jordan Mungire Rugimbana
- Mkuu wa Mkoa Dodoma.
15. Mh. Said Meck Sadick
- Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.
16. Mh. Magesa Mulongo
- Mkuu wa Mkoa Mara.
17. Mh. Amos Gabriel Makalla
- Mkuu wa Mkoa Mbeya.
18. Mh. John Vianey Mongella
- Mkuu wa Mkoa Mwanza.
19. Mh. Daudi Felix Ntibenda
- Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
20. Mh. Amina Juma Masenza
- Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
21. Mh. Joel Nkaya Bendera
- Mkuu wa Mkoa wa Manyara.
22. Mh. Halima Omary Dendegu
- Mkuu wa Mkoa wa Mtwara.
23. Dkt. Rehema Nchimbi
- Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
24. Mhandisi Evarist Ndikilo
- Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
25. Mh. Said Thabit Mwambungu
- Mkuu wa Mkoa Ruvuma.
26. Luteni Mstaafu Chiku Galawa
- Mkuu wa Mkoa wa Songwe (Mkoa mpya).
Wakuu wote wa Mikoa walioteuliwa, wataapishwa
Jumanne tarehe 15 Machi, 2016 saa 3:30 Asubuhi Ikulu, Jijini Dar es salaam.
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es salaam
13 Machi, 2016
0 comments:
Post a Comment