Jimbo la
Mashariki kati mwa Tanzania la kanisa la waadventista wasabato limetangaza
mabadiliko la vituo vya kazi kwa wachungaji wake 22 walio ndani ya Jimbo hilo.
Mkurugenzi
wa Idara ya mawasiliano wa jimbo hilo Mchungaji Andrew Izungo amesema kuwa
mabadiliko hayo yametokana na kikao cha
Mwisho wa Mwaka cha kamati kuu ya Jimbo ya mashariki kati mwa Tanzania katika kanisa
la Waadventista Wa Sabato (ECT)
Mchungaji
Izungo amewataja waachungaji hao kuwa ni pamoja na;
Pr.Shauri-Kondoa,
Pr.Martinus-Mlali,
Pr.Manyasi-Pwaga,
Pr.Bunga-Mpwapwa,
Pr.Shayo-Kitungwa,
Pr.Kibasisi-Gairo,
Pr.Lawi-Kilosa,
Pr.Imani-Mikese,
Pr.Shashnale-Ifakara,
Pr.Bigambo-Kunduchi,
Pr.Moses - Bunju,
Pr.Charles Mjema -Mwenge,
Pr.Stephen Letta-Tegeta,
Pr.David Mbaga-Dodoma,
Pr.Bomani-Kizota,
Pr.Ombeni-Kirombelo,
Pr.Methsela (mpya)Mtimbila.
Pr.Saguda-Malinyi,
Pr.Nzotta Imanuel - Mlimba,
Pr.Masunya-Kinondoni,
Pr.Kibaso-Jamaica,
Pr.Petro Mganda-Morogoro Mjini
Hivi kuna haja kweli ya kuwahamishahamisha watu vituo wakati hata malengo walojiwekea hayajafika! Kanisa letu kuendelea itabakia kuwa ndoto tu
ReplyDeleteSioni tatizo kuwahamisha wachungaji. Kama wanafanya kazi bega kwa bega na washiriki, na washiriki hapo wakawa kitu kimoja na Mchungaji, huenda ikawa rahisi kwa wao kumshauri Mchungaji mgeni kuendeleza njozi zilizoachwa na mtangulizi wake.
ReplyDeleteHowever, I do not ignore about church politics.
Wasalaam.
Sioni tatizo kuwahamisha wachungaji. Kama wanafanya kazi bega kwa bega na washiriki, na washiriki hapo wakawa kitu kimoja na Mchungaji, huenda ikawa rahisi kwa wao kumshauri Mchungaji mgeni kuendeleza njozi zilizoachwa na mtangulizi wake.
ReplyDeleteHowever, I do not ignore about church politics.
Wasalaam.