Ad (728x90)

Tuna Develop/Design Blog & Website & Android Application ......0717331293

Sunday, 10 July 2016

Filled Under:

YALIYOJIRI KWENYE UZINDUZI WA KWAYA YA MLIMANI S.D.A PAMOJA NA KWAYA TOKA CONGO - NEW JERUSALEM SINGERS

Waimbaji toka Congo Gabriel na Eric wakiwa na Mtangazji wa Morning star radio/Televison Prince katika Ukumbi wa Mafao House-Ilala Dar es salaam

Waimbalimbalimbali wakijiandaa kuimba katika moja ya kumbi zilizotumika kufanyika uzinduzi huo


Mtangazaji Prince Emanuel akiwa na waimbaji wa kike toka nchini Congo - "NEW JERUSALEM SINGERS"



Mtangazji Prince akiwa na waimbaji wa kiume toka Nchini Congo


Moja ya waalimuna waimbaji wa NEW JERUSALEM SINGERS toka nchini Congo - Eric


Ndani ya ukumbi wa Mafao House- Ilala D/salaam

Pugu sda kwaya -Miongoni mwa kwaya zilizoshiriki katika uzinduzi wa kwaya ya Mlimani.























Unknown

Author & Editor

Naitwa Prince Emanuel, ni mtangazaji na muandaji wa vipindi kupitia Morning Star Radio na Morning Star Televesion Tanzania.

0 comments:

Post a Comment

 

Copyright © UNCLE PRINCE ™ is a registered trademark.
Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.