Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Asha-Rose Migiro
kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.
Dkt. Asha-Rose
Migiro anakwenda kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Peter Kalaghe ambaye
amerudishwa nyumbani.
Dkt. Asha-Rose
Migiro ataapishwa kesho Alhamisi tarehe 05 Mei, 2016 katika Ikulu ndogo ya
Chamwino Mkoani Dodoma.
Gerson
Msigwa
Kaimu
Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dodoma
04 Mei,
2016
0 comments:
Post a Comment