JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI
YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu: 255-22-2114512,
2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Faksi: 255-22-2113425 |
OFISI YA RAIS,
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Ally Salum Hapi kuwa
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam.
Bw. Ally Salum
Hapi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni
Bw. Paul Makonda ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
Uteuzi wa Bwana
Ally Salum Hapi umeanza leo tarehe 18 Aprili, 2016.
Gerson
Msigwa
Kaimu
Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es
salaam
18 Aprili,
2016
0 comments:
Post a Comment