Aliamua kuanzisha Programm hii ya Tusali Pamoja ili kuweza kusaidia wageni wawapo sehem ya ugenini kuweza kuliona kanisa la Wa Sabato kwa uharaka zaidi.Unaweza ku ipakua programm hiyo kwa kubonyeza hapa TusaliPamojaApp .
Application hii aliiweka Play Store Mwaka jana na kwa sasa anaendelea na Maboresho mengi ambayo yatapatikana katika toleo la Pili la Programm Hii tumishi kwa simu za Android.Ombi lake ni kuwezeshwa kupata taarifa za Makanisa mengi zaidi ikiwezekana yote Ya Wa Sabato Tanzania kwa haraka.
Yeye ni mzaliwa wa Kilimanjaro ila amekulia Jijini Tanga,Ni Mtaalamu wa kuunda Programm tumishi za Simu Pamoja Na Tovuti lakini pia ni mtu aliye tayari kumuelekeza mwingine mwenye uhitaji wa kujua taaluma hii, na ndo mana aliamua kuanzisha group la Whatsapp kwa ajili ya vijana wa ki Sabato ili kuwafundisha namna ya kuunda prograam tumishi za simu pamoja na Tovuti. Kwa sasa ameanza na kuelekeza tovuti.
Ikiwa utahitaji kumpata basi waweza wasiliana naye kwa namba 0717331293.
Picha chini inamuonesha Akiwa na Mke wake Mpendwa Ambaye ni Mtumishi wa Kanisa ktika Conference ya S.E.C
0 comments:
Post a Comment