Friday, 19 August 2016
Filled Under:
Imeelezwa kuwa Bingwa wa mbio za mita 100 Duniani mjamaica Usain Bolt ambaye hiv karibun ametetea Ubingwa huo kwa kunyakua Medali ya dhahabu katika mbio za kupokezana vijiti inayofanyika nchini Brazili amelelewa na kanisa la waadventista wasabato nchini Jamaica.
Mlezi wa mambo ya kiroho wa kanisa la waadventista wasabato ktk kituo cha michezo nchini humo Richard Daily ameeleza kuwa Ingawa mwanariadha huyo si muumini wa dhehebu hilo ila yuko huru kuzungumzia ukaribu wake na kanisa la waadventista wasabato lililomkuza.
Richard ameongeza kuwa Usain Bolt hubeba Biblia katika bag lake analosafiri popote pale aendapo ulimwenguni hata nyakati za michezo
Jennifer ni muumini wa kanisa la waadventista wasabato ambaye pia mama mzazi wa mwanariadha Usain Bolt ambaye mara nyingi hupenda kusafiri pamoja na mtoto wake kwa ajili ya kumtia moyo katika michezo.
Katika moja ya mahojiano aliyoyafnya nchini Jamaica Usain Bolt ameeleza kuwa mama yake amekuwa mstari wa mbele kulinda vyakula ambavyo mwanariadha huyo hutumia hasa akimsihi kutumia vyakula ambavyo Biblia imeruhusu kutumiwa kupitia kitabu cha Mambo ya walawi 11.
Kanisa la waadventista wasabato nchini Jamaica lina waumini 280,000 wanaoabudu katika makanisa 686 ambapo Taifa la Carribean lina idadi ya watu M.2.7
JE WAJUA??????????MWANARIADHA BINGWA WA MBIO ZA MITA 100 USAIN BOLT ALILELEWA NA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO?
By
Unknown
Dated
11:16
Imeelezwa kuwa Bingwa wa mbio za mita 100 Duniani mjamaica Usain Bolt ambaye hiv karibun ametetea Ubingwa huo kwa kunyakua Medali ya dhahabu katika mbio za kupokezana vijiti inayofanyika nchini Brazili amelelewa na kanisa la waadventista wasabato nchini Jamaica.
Mlezi wa mambo ya kiroho wa kanisa la waadventista wasabato ktk kituo cha michezo nchini humo Richard Daily ameeleza kuwa Ingawa mwanariadha huyo si muumini wa dhehebu hilo ila yuko huru kuzungumzia ukaribu wake na kanisa la waadventista wasabato lililomkuza.
Richard ameongeza kuwa Usain Bolt hubeba Biblia katika bag lake analosafiri popote pale aendapo ulimwenguni hata nyakati za michezo
Jennifer ni muumini wa kanisa la waadventista wasabato ambaye pia mama mzazi wa mwanariadha Usain Bolt ambaye mara nyingi hupenda kusafiri pamoja na mtoto wake kwa ajili ya kumtia moyo katika michezo.
Katika moja ya mahojiano aliyoyafnya nchini Jamaica Usain Bolt ameeleza kuwa mama yake amekuwa mstari wa mbele kulinda vyakula ambavyo mwanariadha huyo hutumia hasa akimsihi kutumia vyakula ambavyo Biblia imeruhusu kutumiwa kupitia kitabu cha Mambo ya walawi 11.
Kanisa la waadventista wasabato nchini Jamaica lina waumini 280,000 wanaoabudu katika makanisa 686 ambapo Taifa la Carribean lina idadi ya watu M.2.7
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment