Ad (728x90)

Tuna Develop/Design Blog & Website & Android Application ......0717331293

Friday, 17 June 2016

Filled Under: ,

Sasa waweza Tafuta kanisa LA WA ADVENTISTA WA SABATO Popote Pale Tanzania kwa kuandika jina la wilaya uliyopo.Ina maana hata kama hujui jina la kanisa husika ,sisi tutakuonesha Kanisa hilo kwa kukutuambia ni wilaya gani upo. Tumeongeza huduma hii ili kuifanya rahisi sana kazi ya kukuonesha kanisa lilipo pindi uwapo Ugenini. lengo ni kupunguza idadi ya Wasioenda kanisani kwa kisingizio CHA UGENI. Ingia Hapa www.pacoster.com

MAKANISANI ZA KITAIFA

Unknown

Author & Editor

Naitwa Prince Emanuel, ni mtangazaji na muandaji wa vipindi kupitia Morning Star Radio na Morning Star Televesion Tanzania.

0 comments:

Post a Comment

 

Copyright © UNCLE PRINCE ™ is a registered trademark.
Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.