 |
Add caption |
DAR ES SALAAM##Kikosi
cha Usalama Barabarani kanda maalum ya Dar es salaam kimetangaza
kukusanya kiasi cha shilingi Milioni 365 kutokana na ukamataji wa makosa
ya usalama Barabarani kwa kipindi cha kuanzia February 28 2016 hadi March 07
2016.
Kamanda
wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro amesema lengo la kukusanya mapato mengi ni ili watu wafuate sheria ila
si kwa ajili ya kuwakomoa watu.
Kamanda Sirro
ameeleza kuwa HIZO MILIONI 365 ZIMETOKANA
NA
IDADI YA MAGARI
YALIYOKAMATWA ni –8,647, IDADI YA
PIKIPIKI ZILIZOKAMATWA ni –3,851, DALADALA
ZILIZOKAMATWA –5,130,
MAGARI MENGINE (BINAFSI NA MALORI) –3,517,
JUMLA YA MAKOSA YALIYOKAMATWA –11,950.
Unknown
Author & Editor
Naitwa Prince Emanuel, ni mtangazaji na muandaji wa vipindi kupitia Morning Star Radio na Morning Star Televesion Tanzania.
0 comments:
Post a Comment