 |
Add caption |
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Eng. John William Herbert Kijazi
kuwa Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu jijini Dar es Salaam, Balozi Kijazi
anachukua nafasi ya Balozi Ombeni Sefue ambaye atapangiwa kazi nyingine.
|
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Eng. John William Herbert Kijazi wakwanza kushoto na Wamwisho
kulia ni aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
|
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Eng. John William Herbert Kijazi aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
Ombeni Sefue pamoja na viongozi Wakuu wa Ulinzi na Usalama Tanzania
|
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng.
John William Herbert Kijazi pamoja na Makatibu Wakuu wa Wizara
mbalimbali mara baada ya kuisha tukio la Uapisho Ikulu jijini Dar es
Salaam.
|
Unknown
Author & Editor
Naitwa Prince Emanuel, ni mtangazaji na muandaji wa vipindi kupitia Morning Star Radio na Morning Star Televesion Tanzania.
0 comments:
Post a Comment