Ad (728x90)

Tuna Develop/Design Blog & Website & Android Application ......0717331293

Friday, 20 May 2016

Filled Under: ,

Mwenyekit wa kanisa la waadventista wa Mwenyekiti wa kanisa la waadventista wasabato Ulimwenguni Mchungaji Dr. TED WILSON atembelea CONGO.

MAKANISANI ZA KITAIFA



Mwenyekiti wa kanisa la waadventista wasabato Ulimwenguni Mchungaji Dr. TED WILSON amefanya ziara ya Utume wa kazi ya Mungu Nchini CONGO akitokea RWANDA ambapo napo alifanya kazi ya kuzindua Mikutano mikubwa ya Neo la Mungu Na ambayo mpaka sasa inaendelea vizuri.

Wananchi na waumini wa kanisa la waadventista wasabato nchini Congo wamefarijika na ziara hiyo ya kiongozi huyo wa ngazi ya juu Ulimwenguni.


Akiwa Nchini CONGO Mchungaji Dr. Ted  Wilson alikutana na watu mbalimbali wakiwemo waandishi wa Habari ambao aliweza kuzungumza nao juu ya kazi ya Kuupasha Ulimwenguu kuhusu Neno la Mungu.

Aidha Aliwatia Moyo sana wazidi kuifanya kazi yao wakimtanguliza Mungu kwa kila jambo.

Unknown

Author & Editor

Naitwa Prince Emanuel, ni mtangazaji na muandaji wa vipindi kupitia Morning Star Radio na Morning Star Televesion Tanzania.

1 comments:

 

Copyright © UNCLE PRINCE ™ is a registered trademark.
Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.