![]() |
Kanisa la waadventista wasabato Babati lililoko mkoani MANYARA limekuwa na sabato ya pekee ya kuhitimisha Semina ya wainjilisti walei iliyoendeshwa kwa juma zima kanisa hapo.
Hitimisho la Semina hiyo na Ibada imeendeshwa na Mwenyektii wa Union Konferensi ya Kaskazini Mwa Tanzania Mchungaji Daktari Godwin lekundayo na kuhudhuriwa na Waziri wa habari Utamaduni Wasanii na Michezo Mh, Nape Nnauye na viongozi wengine wa kanisa hilo.
Saaaaaaaaaaafi sana
ReplyDelete