Ad (728x90)

Tuna Develop/Design Blog & Website & Android Application ......0717331293

Wednesday, 20 April 2016

Filled Under:

WATUHUMIWA WA UJAMBAZI WAKAMATWA KARIAKOO

ZA KITAIFA



Tukio la uwizi umetokea katika ghorofa, lakini imeshindikana kutokana na ujasiri wa mfanyakazi wa kike, wenye nyumba,wamesafiri na kufunga baadhi ya vyumba, wezi wamekamatwa baada ya kelele za mfanyakazi, wamepigwa na wakazi wa mtaa wa swahili na baada ya muda polisi kufika na kuwakamata wakiwa na majeraha makubwa na kuondoka nao kuelekea kituo cha polisi msimbazi

Unknown

Author & Editor

Naitwa Prince Emanuel, ni mtangazaji na muandaji wa vipindi kupitia Morning Star Radio na Morning Star Televesion Tanzania.

0 comments:

Post a Comment

 

Copyright © UNCLE PRINCE ™ is a registered trademark.
Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.