Pr. Mark W. Marekena atoa Rai kwa kanisa la SDA Kutegemea Uzoefu Mpya 2016-2020
Mwenyekiti wa Unioni ya Kusini mwa Tanzania Mch. Mark Walwa Marekana Atoa Rai Kwa kanisa La Waadventisa wa sabato Tanzani Kutegemea Uzoefu Mpya katika Awamu hii ya Kazi(2016-2020)
Akisisitiza hilo kwa kunukuu Uzoefu wa Waisrael baada ya kuvuka Yordani alisema Tufanye kazi kwa kasi ya kauli mbiu yetu "Utume kwanza, Niwakati wa Mavuno"
Mwenyekiti huyo ameitaka konferensi ya nyanda za juu Kusini kufufua zahanati zote zilizo kufa.
Hayo yote yamesemwa hii leo katika Ufunguzi ya Mikutano ya watendakazi wa Conference ya nyanda za juu Kusini Ulio fungukiwa leo na unao tegemea kufungwa kesho jioni
0 comments:
Post a Comment