Ad (728x90)

Tuna Develop/Design Blog & Website & Android Application ......0717331293

Monday, 8 February 2016

Filled Under:

YALIYOJIRI KATIKA TAMASHA LA UIMBAJI LA ANGLE MAGOTI

MAKANISANI
Hizi ni baadhi ya Picha za matukio ya tamasha la uimbaji la ANGLE MAGOTI katika ukumbi wa RUSSIAN CULTURAL CENTER
                     WAIMBAJI WA KIKUNDI CHA BLESSED SISTERS WALIKUWEPO
KUNDI ZIMA LA THE VOICE


          WAIMBAJI WA KUNDI LA THE LIGHT BEARERS WALIKUWEPO


    Wadau wa Muziki wa Injili wakifuatilia Tamasha kwa Ukaribu



      WAIMBAJI WA KUNDI LA SONDA YA DHILU NAO WALIKUWEPO



  WAIMBAJI WA KUNDI LA HEALING BROTHERS TOKA KANISA LA UBUNGO HILL


                                              BARRET MAPUNDA NAE ALIKUWEPO
                                                              OOLA VOCAL BAND
                                  MWIMBAJI SAMWELI MWAZINI NAE ALIKUWEPO
                             KUNDI LA BUSY BEE TOKA TEMEKE NAO WALIKUWEPO
                              MSHEREHESHAJI WA TAMASHA "MC ADAM NYANDO"
                        ANGEL MAGOTI AKIIMBA WIMBO NA KUNDI LA THE VOICE




                                  MWANAMUZIKI ANGLE MAGOTI AKIIMBA WIMBO USEMAO "HERE I AM TO WORSHIP

                                ANGLE MAGOTI AKIIMBA NA SAMWELI MWAZINI

  ANGLE MAGOTI AKIIMBA PAMOJA NA WAZAZI WAKE NA MDOGOWAKE KATIKA TAMASHA HILO.

 MWIMBAJI WA KUNDI LA THE VOICE (MELYSA JOHN) AKIIMBA PAMOJA NA ANGLE MAGOTI



                    KUNDI LA UIMBAJI LA PISHONI MUSIC INC

Unknown

Author & Editor

Naitwa Prince Emanuel, ni mtangazaji na muandaji wa vipindi kupitia Morning Star Radio na Morning Star Televesion Tanzania.

0 comments:

Post a Comment

 

Copyright © UNCLE PRINCE ™ is a registered trademark.
Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.