 |
Waimbaji toka Congo Gabriel na Eric wakiwa na Mtangazji wa Morning star radio/Televison Prince katika Ukumbi wa Mafao House-Ilala Dar es salaam |
 |
Waimbalimbalimbali wakijiandaa kuimba katika moja ya kumbi zilizotumika kufanyika uzinduzi huo |
 |
Mtangazaji Prince Emanuel akiwa na waimbaji wa kike toka nchini Congo - "NEW JERUSALEM SINGERS" |
 |
Mtangazji Prince akiwa na waimbaji wa kiume toka Nchini Congo |
 |
Moja ya waalimuna waimbaji wa NEW JERUSALEM SINGERS toka nchini Congo - Eric |
 |
Ndani ya ukumbi wa Mafao House- Ilala D/salaam |
 |
Pugu sda kwaya -Miongoni mwa kwaya zilizoshiriki katika uzinduzi wa kwaya ya Mlimani. |
Unknown
Author & Editor
Naitwa Prince Emanuel, ni mtangazaji na muandaji wa vipindi kupitia Morning Star Radio na Morning Star Televesion Tanzania.
0 comments:
Post a Comment