 |
Msafara wa Mbwa mwitu huitwa Pack kwa kiingereza .
3 wa kwanza ni wazee au wagonjwa na huongoza njia kwa wengine .
5 wanaofuatia ndio wenye nguvu zaidi
Wanaofuatia katikati ni wengine wasiokua na kundi
5 Wanafuatia tena ambao ni wenye nguvu zaidi
Yule wa mwisho kabisa anafuatisha yule anayeongoza msafara , hapo
anaweza kuongoza kundi zima , kuamua waelekee upande gani na kujua kama
kuna adui na jinsi ya kuhepa au kupambana .
Msafara wa Mbwa Mwitu
hufuata sauti za wazee wao walio mbele na kiongozi wa msafara anayeweka
ari na umoja wa kutokuacha yoyote nyuma .
|
Unknown
Author & Editor
Naitwa Prince Emanuel, ni mtangazaji na muandaji wa vipindi kupitia Morning Star Radio na Morning Star Televesion Tanzania.
0 comments:
Post a Comment