Ad (728x90)

Tuna Develop/Design Blog & Website & Android Application ......0717331293

Monday, 15 February 2016

Filled Under:

HUKU NA KULE;NABII WA MAVAZI ATOKEA

Magreth - mama anayejitambua kama Nabii, ametokea akidai ana ujumbe aliopewa na Mungu kuwaonya wanawake (hasa wakristo) wasivae nguo zinazoonesha uchi bali wavae nguo kama hiyo aliyovaa yeye (pichani kulia). Nilikutana na Magreth alipokuja kwenye semina ya uongozi iliyokuwa inahitimishwa leo hapa Mwenge ili aonane na viongozi wa Konferensi na Union awaambie kile Mungu alichomwagiza kwao. Hapa anajaribu kujibu maswali kutoka kwa mmoja wa wanasemina ndugu Mduma - dereva wa Mwenyekiti wa Union. Magreth ni mwaadventista anayesali huko Kipunguni Ukonga. Ingawa anaonekana kukiamini kwa dhati (conviction) hicho anachokiita mafunuo bado anahitaji msaada ili afahamu asili ya hiyo nguvu iliyo nyuma yake.


Unknown

Author & Editor

Naitwa Prince Emanuel, ni mtangazaji na muandaji wa vipindi kupitia Morning Star Radio na Morning Star Televesion Tanzania.

0 comments:

Post a Comment

 

Copyright © UNCLE PRINCE ™ is a registered trademark.
Designed by Templateism. Hosted on Blogger Platform.